answersLogoWhite

0

Utani katika jamii za kiafrika ni zaidi ya mzaha. Kama anavyosimulia mwandishi Tigiti Sengo katika kitabu Utani Jamii Ukwere,mzaha ulitumika kana mbinu ya kuwapatanisha wanyonge na wenye nguvu kwa kuandaa mbinu ya mawasiliano .

User Avatar

Wiki User

14y ago

What else can I help you with?